Vijana wahamasishwa kutojihusisha na mihadarati Samburu

  • | Citizen TV
    135 views

    Vijana wa eneo la south horr, samburu kaskazini wamelalamikia ukosefu wa ajira, hali inayowashinikiza baadhi yao kujitosa katika uraibu wa dawa za kulevya na kujihusisha na ukosefu wa nidhamu. Vijana hao wanasema kuwa licha ya wao kuwa na elimu inayohitajika, juhudi zao za kusaka ajira hazijafua dafu.