Vijana wahimizwa kukomesha matumizi ya dawa za kulevya Lamu

  • | Citizen TV
    172 views

    Kutokana na Ongezeko la matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana ambao baadaye hujiunga na makundi haram Eneo la Hindi, kundi moja la vijana limeandaa hamasiho ya siku moja ili kuwapa vijana ushauri dhidi ya matumizi ya mihadarati