Vijana wahimizwa kusaka nafasi za kazi katika serikali

  • | Citizen TV
    246 views

    Katibu katika Wizara ya Vijana Ismail Madey amewataka vijana kujituma katika nafasi za kazi zilizoko katika serikali kuu Na serikali za kaunti.