Vijana wahimizwa kutumia mtandao wa kijamii kutoa huduma bora

  • | KBC Video
    11 views

    Vijana kote nchini wamehimizwa kuchukua jukumu kubwa zaidi ya mitandao ya kijamii kushinikiza utoaji wa huduma bora na uongozi ufaao katika sekta zote za serikali ya kitaifa na kaunti. Kundi la wasanii wanaoongoza mpango huo uliopewa jina la Love and Social Justice watazuru angalau kaunti sita zilizoathiriwa vibaya na utumizi wa dawa za kulevya, ukosefu wa ajira na misukosuko ya kisiasa huku wakitaka kuwahamasisha vijana kuhusu jukumu lao muhimu kwa jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News