Vijana wahuni Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    254 views

    Watu saba wamejeruhiwa na nyumba kadhaa kuteketezwa baada ya kundi la vijana kuzua ghasia kuhusu umiliki wa ardhi katika eneo la Nayupong, kaunti ya Trans Nzoia. Baadhi ya vijana wanadaiwa kuwalazimisha wakazi kulipa pesa kulindiwa ardhi zao, na waliokataa walishambuliwa.