Vijana wanaokimbia kuzunguka ukuta

  • | BBC Swahili
    427 views
    Tazama vijana hawa wawili wanaokimbia kuzunguka ukuta mkubwa nchini China ambao ni wachache wamewahi kuumaliza. Ndugu hao wanamaliza mbio za kila siku walizofanya kwa miezi sita wakikimbia kupitia jangwa, juu ya milima na katikati ya magofu hatari yaliyobomoka. - - - #bbcswahili #china #greatwall