Vijana wanne kati ya sita waliotekwa nyara kwa kukashifu serikali waachiliwa huru

  • | Citizen TV
    49,874 views

    Vijana Wanne Kati Ya Sita Waliotekwa Nyara Zaidi Ya Wiki Mbili Zilizopita Kwa Kukashifu Serikali Mitandaoni Wameachiliwa Huru Maeneo Tofauti Nchini. Billy Mwangi Aliyetekwa Nyara Mjini Embu Tarehe 21 Desemba Mwaka Jana Aliachiliwa Mapema Leo. Kadhalika Peter Muteti Aliyetekwa Nyara Eneo La Uthiru , Rooney Kibet Aliyetekwa Nyara Pamoja Na Nduguye Kibet Bull, Na Benard Kavuli Aliyetekwa Nyara Mjini Ngong Tarehe 22 Desemba Wameachiliwa.