Vijana waraiwa kutumia mitandao kujiajiri

  • | Citizen TV
    111 views

    Vijana zaidi ya 700 kutoka kaunti ndogo ya mshuuru katika kaunti ya Kajiado wanatarajiwa kunufaika na huduma mitandaoni baada ya kituo cha kidijitali kufunguliwa eneo hilo. Mradi huo unalenga kuwapa vijana nafasi ya kujifunza mengi mitandaoni na hata kufanya biashara kupitia mitandao.