Vijana washauriwa kukumbatia vibarua vya miradi ya serikali

  • | Citizen TV
    97 views

    Zaidi ya vijana 200 kutoka kaunti ya Kisii wamehimizwa kujihusisha na miradi ya serikali katika maeneo yaliyo karibu nao ili kujinufaisha na nafasi chache za kazi