Vijana washauriwa kupanda miti na kujihusisha na kilimo

  • | Citizen TV
    139 views

    Vijana kutoka eneo la kaskazini mashariki wamehimizwa kuwa katika mstari wa mbele kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa kupitia uvumbuzi wa suluhu wa tatizo hilo mashinani