Vijana watakiwa kutumia mitandao ya kijamii katika kuwawajibisha viongozi

  • | K24 Video
    110 views

    Vijana wametakiwa kutumia vyema mitandao ya kijamii katika kuwawajibisha viongozi na kubuni majukwaa ya mazungumzo kuhusu utawala bora. Katika siku ya kwanza ya tamasha ya siku tatu ya People Dialogue katika bustani ya Uhuru, vijana wametakiwa kutetea nafasi yao serikalini na kutogawanywa kwa misingi ya kikabila.