Vijana watumia mtandao kutafuta soko la kuku Bomet

  • | Citizen TV
    265 views

    Kundi moja la vijana kutoka eneo la Longisa kaunti ya Bomet linapata faida kubwa kwa ufugaji wa kuku baada ya kupigia debe biashara yao kwenye mitandao ya kijamii.