Vijana wawili waliotekwa nyara waandikisha taarifa na DCI

  • | Citizen TV
    4,826 views

    Vijana wawili waliotekwa nyara Billy Mwangi na Gideon Kibet wameandikisha taarifa katika makao makuu ya idara ya upelelezi DCI hapa jijini Niarobi. Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanasema bado wapo watu 25 ambao hawajulikani walipo.