Vijana zaidi wahitimu kupitia mafunzo ya kiufundi

  • | Citizen TV
    92 views

    Serikali za kaunti zimehimizwa kuanzisha mipango itakayosaidia kubuni ajira zaidi kwa vijana ili kukabiliana na ongezeko la ukosefu wa ajira