Vijana zaidi ya 15 kutoka kenya wakwama Dubai baada ya kuhadaiwa na 'BroadLink Travel Agency'

  • | Citizen TV
    6,594 views

    Vijana zaidi ya 15 wanaomba msaada wa kurudi nyumbani kutoka nchi ya Dubai, baada ya kuhadaiwa na kampuni ya BroadLink travel agency, iliyokuwa imewaahidi kuwapeleka kufanya kazi nchini humo. Baadhi ya vijana hao wanasema waliuza mali yao na kulipa kampuni hiyo shilingi laki 3 kila mmoja, ila hawakupata kazi Dubai kama waliovyoahidiwa.