Vijana zaidi ya 4,000 wafunzwa mbinu za biashara Siaya

  • | Citizen TV
    93 views

    Vijana zaidi ya 4,000 katika kaunti ya Siaya wamepata mafunzo kuhusu uwekezaji wa fedha kwa minajili ya kuanzisha biashara kama njia mbadala ya kukabiliana na ukosefu wa ajira.