Vikao viwili baada ya maziko katika jamii ya Bukusu

  • | West TV
    82 views
    Baada ya kufariki kwa mwanajamii hasa Mzee, ukoo wa jamii ya Bukusu huandaa vikao viwili vikuu baada ya kumzika marehemu,lengo kuu ni kumkumbuka na kujadili mambo muhimu ya kuendeleza uzao wa marehemu