Vikao vya umma vya kumbandua Gachagua kufanywa ijumaa

  • | Citizen TV
    2,686 views

    Wakenya kutoka kaunti mbalimbali wametoa hisia mseto kuhusiana na hoja ya kumbandua afisini naibu Rais Rigathi Gachagua iliyowasilishwa leo katika bunge la kitaifa. Japo kuna wale waliounga mkono hoja hiyo iliyowasilishwa na mbunge wa Kibwezi Mwengi Mutuse, wengine wanasema ni mapema mno kwa siasa.