Vikosi vya Kulinda amani vya Jumuiya ya Afrika Mashariki vyaondoka DRC

  • | VOA Swahili
    1,155 views
    Vikosi vya kulinda amani vya Jumuiya ya Afrika Mashariki vinaondoka DRC, baada ya miezi kumi na moja kuwemo nchini humo. Hatua hii inafuatia uamuzi wa Rais Felix Tshisekedi kuona hakuna tija kwa majeshi hayo kuendelea kulilinda taifa hilo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.