Vikwazo kwa usafiri umeondolewa baada ya korona kudaiwa sio tishio

  • | West TV
    112 views
    Kufuatia tangazo la shirika la afya duniani who kuwa virusi vya korona si tishio tena ulimwenguni, waziri wa afya nchini Susan Nakhumicha amehoji kuwa vikwazo vya usafiri sasa vimeondolewa ambapo wasafiri hawahitaji tena cheti cha kuonyesha kuwa hawana virusi hivyo.