Viongozi kericho wapinga hatua ya mdhibiti wa bajeti wakisema hatua hiyo imetatiza utoaji wa basari

  • | Citizen TV
    109 views

    Kiongozi wa Wengi wa Bunge la Kericho, Phillip Rono, amelaumu Agizo la Mdhibiti wa Bajeti kwa Ukosefu wa Mgao wa Bursari. Rono amesema kuwa agizo hilo kutoka limewazuia viongozi kaunti hiyo kutoa bursari wakihofiwa kushtakiwa kwa kukiuka sheria.Hata hivyo wawakilishi Wadi wanataka mgao wa fedha za kaunti kusambazwa kwa usawa katika wadi zote Kericho.