Viongozi kutoka Mandera wataka vijana kusitisha maandamano na kuipa serikali muda

  • | NTV Video
    185 views

    Baadhi ya viongozi kutoka Kaunti ya Mandera wamewataka vijana kusitisha mandamano ili kuipa serikali muda wa kuwahudumia wakenya. kulingana na viongozi hao hatua ya Rais Ruto kujumuisha upinzani ndani ya baraza la mawaziri ni mbinu mwafaka ya kunganisha taifa huku wakimtaka rais kuhakikisha baraza hilo linatekeleza wajibu wake kikamilifu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya