Viongozi kutoka Samburu wataka makatibu wapya kuwajibika

  • | Citizen TV
    586 views

    Bunge la kitaifa likitarajiwa kuanza kuwapiga msasa makatibu walioteuliwa na RAIS William Ruto hivi majuzi, muungano wa wasomi Kaunti ya Samburu, umetoa wito Kwa bunge la kitaifa kuharakisha mchakato huo ili makatibu waanze kutumikia wananchi. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi.