Viongozi mbalimbali wamwomboleza Wafula Chebukati

  • | KBC Video
    3,902 views

    Viongozi mbalimbali wametuma risala zao za rambirambi kwa familia ya aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Wafula Chebukati, aliyefariki alhamisi usiku baada ya kuugua kwa muda mrefu. Katika risala zao, viongozi hao walisema Chebukati alikuwa kiongozi mwenye msimamo dhabiti, hasa wakati taifa hili lilipokabiliwa na utata kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya urais kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive