Viongozi Mlima Kenya wasema italeta umoja nchini

  • | KBC Video
    1,099 views

    Baadhi yaviongozi kutoka eneo la Mlima Kenya wamepongeza uamuzi wa rais William Ruto kubuni serikali jumuishi,wakisema itakuza umoja wa taifa na kumaliza migawanyiko ya kisiasa hapa nchini.Viongozi hao,miongoni mwao gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru na mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro,ambao waliandamana na rais katika ziara yake ya Kirinyaga walisema umoja wa taifa utatoa mazingira bora kwa shughuli za biashara na kusaidia kubuni nafasi za kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive