Viongozi, polisi na wazee kutoka Mandera na Wajir wakutana kusuluhisha migogoro kati ya majamii

  • | Citizen TV
    391 views

    Viongozi, maafisa wa usalama, na wazee kutoka Mandera na Wajir wamekutana katika eneo la Kutulo kwa lengo la kusuluhisha migogoro kati ya jamii za Garre na Degodia kufuatia tukio la magari kuchomwa.