Viongozi Samburu wawarai vijana kukumbatia teknolojia kuwasaidia kupata ajira

  • | Citizen TV
    252 views

    Viongozi wa kaunti ya Samburu wametoa changamoto kwa vijana wasio na ajira kukumbatia utumizi wa kituo cha kidijitali cha jitume kilichozinduliwa katika chuo cha kiufundi cha maralal ili kusaka ajira za mitandaoni. Kituo hicho kinalenga kutoa nafasi kwa mamia ya vijana kujifahamisha kuhusu utumizi wa mitandao.