Viongozi Tana River watoa wito kwa wafugaji kuishi kwa amani kipindi hiki cha ukame

  • | NTV Video
    24 views

    Viongozi katika kaunti ya Tana River wametoa wito kwa wafugaji katika eneo hilo kuishi pamoja kwa amani katika kipindi hiki cha ukame ambako umewalazimu wafugaji kutoka eneo la Kaskazini Mashariki kutafuta hifadhi katika mto tana kwa ajili ya malisho na maji.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya