Viongozi Uasin Gishu wanarai wakazi kudumisha amani

  • | Citizen TV
    1,122 views

    wabunge pamoja na wazee wa jamii ya kalenji kaunti ya uasin Gishu wanakongamana mjini Eldoret kuzungumzia umuhimu wa amani katika kaunti hiyo. Viongozi hao wanasema kuwa licha ya tofauti za kisiasa, jamii zinazoishi katika kaunti hiyo sharti zishirikiane kudumisha amani.