Viongozi wa Azimio wamtaka rais William Ruto kutotia saini mswada wa fedha

  • | K24 Video
    95 views

    Viongozi wa Azimio wakiongiozwa na kiongozi wa wiper Kalonzo Musyoka sasa wamemtaka rais William Ruto kutotia saini mswada wa fedha wa mwaka elfu mbili ishirini na nne na kuwasikiliza wakenya amabao wamegadhabishwa na gharama ya juu ya maisha. Viongozi hao pia wamekashifu vikali ukatili wa polisi kwa waanadamanaji wakipinga vikali kuachiliwa kwa jeshi ili kukabiliana na waandamanaji