Viongozi wa Baringo wataka afisa kuchukuliwa hatua

  • | Citizen TV
    194 views

    Viongozi wa Kaunti ya Baringo wameitaka serikali kukomesha uhalifu na uvamizi wa mara kwa mara katika maeneo yanayoathirika na visa hivyo, siku moja baada ya Chifu kuuawa katika eneo la Chebilat, Jimbo la Tiaty