Viongozi wa EAC na SADC wakutana Nairobi kujadili mzozo wa DRC

  • | KBC Video
    25 views

    Wakuu wa vikosi vya ulinzi vya Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na shirika la maendeleo ya mataifa ya kusini ya Afrika wamethibitisha kuwajibika kwao katika kuunga mkono juhudi za kuleta amani katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive