Viongozi wa Embu wamemtetea Waziri Justin Muturi dhidi ya tuhuma za utekaji

  • | NTV Video
    4,612 views

    Baadhi ya viongozi wa eneo la Embu wamemtetea waziri wa utumishi wa umma Justin muturi baada ya kupokea kashfa kutoka serikali kuhusiana na kauli zake za kuhusisha serikali na hasa idara ya ujasusi nchini na wimbi la utekaji nyara ambao umekithiri nchini ambapo wakosoaji wa serikali wanakamatwa na kutoweka.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya