Viongozi wa kaunti ya Pokot Magharibi wametoa wito kwa vijana kujitenga na uharibifu wa mali

  • | KBC Video
    8 views

    Viongozi katika kaunti ya Pokot Magharibi wametoa wito kwa vijana kujitenga na uharibifu wa mali wakati wa maandamano. Wakiongozwa na gavana wa Pokot Magharibi, Simon Kachapin alisema kuwa sheria inafaa kuzingatiwa ili kuzuia uwezekano wa kutuimbukiza nchi hii kwenye lindi la mgogoro wa kisiasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News