Viongozi wa kidini na wazee kutoka Kilifi wazindua vuguvugu la uongozi

  • | Citizen TV
    220 views

    Muungano wa wazee wa jamii pamoja na Viongozi wa kidini kaunti ya kilifi wameunda Vuguvugu ambalo litawaongoza katika kuboresha uongozi wa kisiasa humu nchini.