Viongozi wa kike wakashifu ongezeko la dhuluma za kijinsia Busia

  • | Citizen TV
    156 views

    Viongozi wa kike na wanaharakati wamejitokeza kukashifu vikali ongezeko la dhuluma za kijinsia zikiwemo visa vya ubakaji, ambavyo vimekithiri katika kaunti ya Busia.