Viongozi wa makanisa waitaka serikali kuwajibika

  • | Citizen TV
    1,310 views

    Maelfu ya wananchi kote nchini walikaribisha mwaka mpya kwa ibada makanisani ambapo viongozi wa makanisa wakitoa jumbe za matumaini ya kuimarika kwa maisha mwaka huu. Aidha viongozi hao waliitaka serikali kuwajibika na kukomesha utekaji nyara mbali na kutatua changamoto za bima ya afya. Emily Chebet alihudhuria ibada makanisani na kuandaa taarifa ifuatayo.