Viongozi wa mlima Kenya wazindua muungano wa haki

  • | Citizen TV
    4,142 views

    Baadhi ya viongozi kutoka eneo la Mlima Kenya wamezindua rasmi muungano mpya wa kisiasa utakaotumika kuendeleza agenda ya eneo Hilo. Wakiongozwa na Kiongozi wa Chama Cha Narc Martha Karua na Karibu Mkuu wa Jubilee Jeremiah Kioni, viongozi hao wamesema kuwa muungano uliozinduliwa almaarufu Haki Coalition utaongozwa na aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta ambaye pia walimtaja Kama msemaji wa jamii hiyo.