Viongozi wa Narok wataka haki kwa waliopoteza mifugo

  • | Citizen TV
    97 views

    Viongozi kutoka eneo bunge la Narok Mashariki wamepinga vikali kusitishwa kwa uhamisho wa maafisa 194 kutoka eneo la Suswa na mahakama ya uajiri kwa misingi ya kusikilizwa na kuamuliwa kwa kesi ya haki za polisi hao.