Viongozi wa ODM wataka makubaliano yawa faidi raia

  • | Citizen TV
    1,483 views

    Baadhi ya viongozi wa ODM katika kaunti ya Kwale wametaka ahadi za manifesto ya chama hicho wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022 kutekelezwa kufuatia makubaliano ya Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga