Viongozi wa Pwani wakosoa wanaofurahia matokeo ya uchaguzi wa AUC

  • | Citizen TV
    1,143 views

    Viongozi kutoka eneo la Pwani wamewakosoa wale wanaosema wanakosa uzalendo kwa kufurahia kufeli kwa aliyekuwa mgombea wa Kenya kwenye kinyan'anyiro cha Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika Raila Odinga