Viongozi wa taifa na kimataifa wamemuomboleza Aga Khan kwa mabadiliko yake makubwa

  • | NTV Video
    144 views

    Viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa wamemuomboleza mwanzilishi wa kampuni ya Nation, na kiongozi wa waislaamu wa jamii ya Ismaili mtukufu Aga Khan, kama kiongozi aliyebadilisha maisha ya mamilioni ya watu sio tu humu nchini bali pia duniani kote.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya