Viongozi wa Upinzani FDC Uganda wakamatwa baada ya kufanya maandamano

  • | VOA Swahili
    819 views
    Viongozi wa chama cha FDC nchini Uganda waliandamana kuelekea Ubalozi wa Kenya Jumatatu lakini walikamatwa na vyombo vya ulinzi vya Uganda kabla ya kufikia ubalozini. akizungumza na vyombo vya habari kabla ya kuandama kwa bunge, meya wa kampala ambaye pia ni mwanachama wa chama cha fdc amelaani kuendelea kushikiliwa kwa wanachama 36 wa fdc wanaoshitakiwa kwa makosa ya ugaidi. Polisi nchini Uganda walidai mahakamani kwamba kundi hilo lilisafiri, kati ya Julai 22 na 23, 2024, kutoka maeneo mbalimbali ya Uganda hadi Kisumu kutoa au kupokea mafunzo ya kigaidi. Picha na mwandishi wetu Sadam Muballe, Uganda. #uganda #kenya #kisumu #fdc #upinzani #meya #kampala #polisi #ugaidi #