Viongozi wakashifu hatua ya mwalimu mkuu kufungia wanafunzi nje kwa kukosa karo

  • | NTV Video
    463 views

    Baadhi ya viongozi wakiongozwa na mwakilishi wakike kaunti ya Nairobi Esther Passaris wamekashifu vikali hatua ya mwalimu mkuu wa shule ya upili ya st Anne ya ya kuwafungia baadhi ya wanafunzi nje Kwa sababu ya kukosa Karo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya