VIongozi wana wasiwasi kuhusu maamuzi ya Rais Trump wa Marekani

  • | Citizen TV
    1,615 views

    Ripoti za ati ati ya wafanyakazi waliokuwa kwenye mashirika yaliyokuwa yamefadhiliwa na shirika la kimarekani la USAID zimeendelea huku uamuzi wa serikali ya Donald Trump ukikosolewa.