Viongozi wanataka changamoto zinazokabili bima ya SHA kutatuliwa

  • | Citizen TV
    305 views

    Viongozi zaidi wanaitaka wizara ya afya kutatua changamoto zilizoibuka kuhusiana na bima ya matibabu ya SHA badala ya kuendelea kusisitiza kuwa inafanya kazi ilhali wagonjwa wanateseka hospitalini. Wakizungumza kwenye ibada ya wafu ya mbunge wa malava marehemu malulu injendi, viongozi hao wamesema mpango huo unawatatiza wagonjwa na kuitaka wizara ya afya kutafuta suluhu.