Viongozi wanawake wa kiisilamu walalamikia shule kadhaa kuwakataza wasichana kuvaa Hijab

  • | Citizen TV
    153 views

    Baadhi ya viongozi waisilamu wa kike sasa wanasema watazishtaki shule ambazo zimekuwa zikiwazuilia wanafunzi wa kike kuvalia vazi la Hijab shuleni. Kamishna wa tume ya ugavi wa fedha Hadija Juma akisema ni uhuru kwa wasichana wa kiisilamu kuvalia vazi hili kama imani yao ya kidini.