Viongozi wataka DCI kumkamata mbunge wa Tiaty kuhusu madai ya uchochezi wakati wa siku ya Mashujaa

  • | NTV Video
    154 views

    Mzozo wa mipaka katika eneo la Mukutani, kaunti ya Baringo umezuka upya na kupelekea hali ya taharuki kwa jamii zinazoishi eneo hilo kufuatia kile kinasemekana ni matamshi ya mjumbe wa tiaty william kamket na hatua ya kuanza kujenga upya afisi ya Chifu, mkabala na afisi nyingine.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya