Viongozi watoa rambirambi zao kufuatia kifo cha Papa Francis

  • | KBC Video
    73 views

    Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga na spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang'ula ni miongoni mwa viongozi mashuhuri waliotoa risala zao za rambirambi kufuatia kifo cha Papa Francis. Viongozi hao pamoja na baadhi ya wabunge, walikusanyika katika makao ya mwakilishi wa Baba Mtakatifu humu nchini jijini Nairobi, kunakili jumbe zao kwenye kitabu cha maombolezi na kutoa heshima zao za mwisho. Viongozi hao walikariri ushawishi mkubwa wa Papa Francis sio tu kama kiongozi wa kiroho, mbali kama ishara ya amani, upendo na haki ulimwenguni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive