Visa vya matapeli kuwapunja watu vinaongezeka kaunti ya Kilifi

  • | Citizen TV
    487 views

    Ofisi ya usajili wa ardhi kaunti ya Kilifi kwa ushirikiano na chama cha mawakili nchini LSK tawi la Kilifi wametoa tahadhari kwa wakazi kutokana na kuongezeka kwa matapeli wanaojifanya kuwa mawakili na hata maafisa kutoka ofisi za ardhi